Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa PSSSF, Yesaya Mwakifulefule amesema kuwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanzisha utaratibu wa kuwalipa mkono wa pole wa kiasi cha Sh.
CONGO: TANZANIA imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk ...
Gweru-based gospel musician Emmanuel Mukoroverwa has taken his music to the streets as he pushes to carve a breakthrough in Zimbabwe’s competitive gospel industry. Mukoroverwa is frequently seen ...
María Corina Machado amezaliwa 7 Oktoba 1967 ni mwanasiasa wa Venezuela na mhandisi wa viwanda. Machado ni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Venezuela na aliwahi kuwa mbunge katika Bunge la ...
Waandamanaji hao walibeba mabango yenye ujumbe-Israel ni ya Mungu, omba amani kwa ajili ya Jerusalem, huku wakipeperusha bendera ya Kenya, Israel na Marekani. Maandamano hayo yalifanyika wakati ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF linatoa wito kwa viongozi wa Afrika kufanya uwekezaji wa kifedha wa busara utakaowezesha watoto kupata ujuzi wa msingi wa kujifunza na ...
Kutokana na ongezeko la ghasia katika nchi hiyo ya Karibea, Kiongozi wa kanisa Katolika duniani, Papa Leo XIV, ametoa wito siku ya Jumapili, Agosti 10, bila kusahau watu wa Haiti, akiomba "uungwaji ...
CARLIFONIA, MAREKANI: UKITAJA waigizaji 50 wanaoingiza pesa nyingi duniani, huwezi kulikosa jina la Robert Downey Jr 'Iron Man'. Ni mwigizaji wa Hollywood aliyejipatia jina kutokana na filamu zake ...
Mshukiwa, Klinzy Barasa Masinde mwenye umri wa miaka 32, anadaiwa kumpiga risasi Boniface Kariuki katika maandamano ya Juni 17, 2025. Na Asha Juma Chanzo cha picha, Reuters Rais wa Brazil Luiz Inacio ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea sehemu ya pili ya ripoti kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili ...