Mfanyabiashara Jeniffer Bilikwija maarufu Niffer ameushukuru uongozi wa Serikali baada ya kuachiwa huru kufuatia uchunguzi ulioonesha kuwa hana hatia. Akizungumza mara baada ya kutoka gerezani, Bilikw ...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amewaasa wananchi hayupo mama kama Tanzania na kuwataka kudumisha amani nchini.
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine sasa anasema maisha yake yako hatarini ...
TUME ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeanza kuhoji majeruhi na baadhi ya ndugu waliopoteza wapendwa wao kwenye vurugu hizo ...
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambayo ilichukua takribani saa moja, iligusa masuala kadhaa kuzungumza maandamano ya ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amemmwagia sifa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama aliyefariki dunia kuwa alikuwa kiongozi mwenye ...
"Ukamataji ninaoupenda ni ule wa kisheria. Askari anakwenda, anaripoti kwa mjumbe, mtu anajulikana alipo. Ya nini uende ...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer hii leo anatarajiwa kuzungumza na washirika wa Ukraine wa Ulaya, kufuatia majadiliano ya mpango wa awali wa amani katika taifa ...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer hii leo anatarajiwa kuzungumza na washirika wa Ukraine wa Ulaya, kufuatia majadiliano ya mpango wa awali wa amani katika taifa ...
Wajumbe kutoka Ukraine, Ulaya na Marekani wamekutana Geneva siku ya Jumapili ili kujadili amani nchini Ukraine. Siku chache tu baada ya mpango kuwasilishwa na kutetewa na utawala wa Marekani, ...
Marekani imewasilisha mpango wa amani kwa Ukraine ambao unaripotiwa kuhitaji uridhiaji mkubwa kutoka kwa Ukraine. Rais Volodymyr Zelenskyy anasema nchi yake iliyoko vitani kwa sasa inakabiliwa na ...
Ujumbe wa Ukraine umeripotiwa kuzuru nchini Marekani kujadili mpango wa amani na Steve Witkoff ambaye ni mjumbe maalum wa Rais wa Marekani Donald Trump na wengine. Chombo cha habari cha Marekani cha ...