KWENYE kampeni za siasa ni darasa linalofungua mafaili ya mambo mengi kama uchumi, teknolojia, nishati maombi ya wapigakura na kwa ujumla msururu wa mafanikio, lakini ni nadra kusikia somo la historia ...
Wakina mama wakifanya dua zao kama sehemu ya mila za Kingoni kwenye kaburi la Chifu Ngosi Mharule. KUELEKEA Tamasha la Kitaifa la Utamaduni, linaloanza Septemba 20 hadi 23 mwaka huu, wakazi wa kijiji ...