Tanzania inatenga kiasi cha fedha kwa ajili ya kupambana na mitandao ya ngono. Tanzania inasema picha hizo ni kinyume cha maadili ya nchi hiyo, hivyo inatengeneza mfumo utakaoweza kuchuja na kuzuia ...
Makamu huyo wa Rais ametoa agizo hilo jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Majaji na Mahakimu wanawake Tanzania (TAWJA). Aidha ameonya kuhusu vitendo vya rushwa ya ...
Mhadhiri mmoja katika Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) amezua mjadala mtandaoni baada ya kudai kwamba rushwa ya ngono imekithiri chuoni humo. Dkt Vicensia Shule aliandika kwenye Twitter kwamba alitaka ...
Vyombo vya habari Tanzania vimetakiwa kuwa na sera ndogo ya kupinga rushwa ya ngono katika vyumba vya habari inayoonekana kushamiri katika kipindi cha hivi karibuni hasa kwa waandishi waolipwa kwa ...
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku vitabu vingi vya watoto shuleni, hasa vya elimu ya ngono na vinavyoshutumu kwa kukiuka "kanuni za kitamaduni na maadili" za nchi hii ya Afrika Mashariki ambapo ...
(Dar es Salaam) – Watanzania walio katika hatari kubwa zaidi ya kuambukizwa VVU hukumbana na dhulumanyingi za polisi na mara nyingi hawawezi kupata usaidizi wanapokuwa waathiriwa wa uhalifu, shirika ...
Wizara ya Afya nchini Tanzania leo imezindua mpango mpya wa kudhibiti UKIMWI, Magonjwa ya ngono na homa ya ini kwa pamoja, huku tafiti zikionyesha ongezeko la magonjwa ya ngono nchini humo. Akizindua ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results