Wazazi, mara nyingi hukumbana na hali zinazoweza kuwaletea wasi wasi au aibu, kama kuchelewa kwa mtoto kuongea au kutumia lugha ipasavyo. Wakati watoto wenzao wanavyoonekana kukua kawaida, unagundua ...