Rais wa zamani wa Tanzania na muasisi wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi katika taifa hilo la Afrika Mashariki, Ali Hassan Mwinyi, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 98. Tangazo la kifo cha ...
Lowassa alihudumu katika nafasi ya waziri mkuu kati ya mwaka 2005 hadi 2008 chini ya uongozi wa rais wa zamani Jakaya Kikwete. Mwaka wa 2015 aliwania urais kwenye uchaguzi mkuu akiwa mgombea wa chama ...
Mwandishi wetu wa Mwanza Martin Nyoni anaangazia maisha ya kisiasa ya aliyekuwa waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Edward Lowassa.