'Usiogope Kuru.' Hicho ndicho kilikuwa kichwa cha habari katika gazeti la Singapore la Novemba 7, 1967. Siku chache zilizopita, jambo la kushangaza lilitokea nchini humo ambapo maelfu ya wanaume ...
Kwa mujibu wa kiongozi muasisi wa Chama cha Kikomunisti, Mao Zedong, na kiongozi wa sasa, Xi Jinping, China ina 'silaha ya ajabu'. Silaha hii inaitwa United Front Work Department (UFWD) na mataifa ya ...