Katika kipindi cha utawala wa Chola, huko Tamil Nadu, India tukio la kushangaza lilitokea ambapo mfalme alieaga dunia alizikwa na wanawake walio hai. Hilo lilifanywa kwa matumaini kwamba wataishi wote ...
Falsafa ya serikali ya Jamhuri imeibuka tena baada ya kifo cha Malkia Elizabeth. Mwandishi wa DW Sertan Sanderson anasema ufalme unahitajika zaidi hivi sasa katika taifa hilo linalokabiliwa na kitisho ...
Kwa wakristo wa kiorthodoksi nchini Ethiopia , mji wa kale wa Aksum ni mji tukufu, nyumbani kwa malkia wa Sheba aliyetajwa kwenye bibilia na sanduku la agano lililokuwa na amri 10 za Mungu. Inaarifiwa ...
Watu wanaoishi katika jimbo hilo ni kutoka makabila ya Bakonzo, Banande, Bamba na Basumba wanaoishi karibu na Milima ya Rwenzori. Charles Wesley Mumbere ndio Mfalme wa sasa wa eneo hilo la Rwenzururu ...
Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, Job Yustino Ndugai, amezikwa shambani kwake wilayani Kongwa mkoani Dodoma. Viongozi mbalimali wa chama na serikali, wananchi wa Kongwa na waombolezaji wengine ...