Nchini Tanzania waumini wa madhehebu mbalimbali wamekamilisha siku tatu za maombi maalumu ya kumshukuru Mungu baada ya 'kupungua' kwa maambukizi ya covid19. Hatua hii ni baada ya kauli ya rais wa ...
Jina lake Everlyne Wanjiru Agundabweni ni maarufu sana katika ulingo wa nyimbo za injili hapa Afrika ya mashariki. Kwa miaka mingi Wakenya pamoja na wakaazi wa kanda hii ya Afrika Mashariki na kati ...