Samaki wa kale anayefahamika kama coelacanth anaweza kuishi kwa muda mrefu sana, hadi karne nzima, kulinga na utafiti mpya uliochapishwa na jarida la Current Biology. Samaki huyu awali alifikiriwa ...