Zaidi ya miaka 40 iliyopita, mwanasayansi mdogo wa Ubelgiji alisafiri hadi sehemu ya mbali ya msitu wa Kongo kazi yake ilikuwa kusaidia kujua ni kwa nini watu wengi wanafariki kutokana na ugonjwa ...
(Nairobi) – Mwenendo wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi na kuharibu mali kwenye oparesheni ya kuwaondoa wakazi katika msitu wa Mau, eneo la Rift Valley, na ukosefu wa msaada kwa waliofurushwa ...