Kusimama ghafla kwa moyo husababisha sehemu za moyo kufa. Mara tu seli zinapokufa, haziwezi kuhuishwa. Hata hivyo wanasayansi wamebaini njia ya kufufua seli hizi za moyo zilizokufa, na hivyo kuokoa ...
Moyo wenye afya ni muhimu sana kwa uhai wa mwili wako. Moyo hupiga na kusukuma damu, ambayo husafirisha hewa ya oksijeni na virutubisho muhimu mwilini. Bila moyo kufanya kazi vizuri, viungo vingine ...