Mataifa ya Mashariki ya mbali yamekuwa ya kwanza kuukaribisha mwaka mpya 2026 huku Australia ikifanya onesho kubwa la fashifashi mjini Sydney. Mwaka 2026 tayari umeanza kwenye maeneo kadhaa duniani ...