Rais mstaafu wa Tanzania anataka kujadiliwa kwa mara ya kwanza "masuala nyeti", kama vile muhula wa tatu wa Rais Pierre Nkurunziza unaoendelea kuzua utata na "uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa, ...
Msemaji wa serikali Philippe Nzobonariba amesema Bujumbura haijaridhiswa na namna mazungumzo haya yalivyoandaliwa lakini pia uwepo wa mshauri wa Umoja wa Mataifa Benomar Jamal. Hatua hii ya serikali ...
<p>Chama cha upinzani cha Chadema huko Tanzania kilifanya maandamano na mkutano wa hadhara leo mjini Arusha, kaskazini mwa Tanzania, na matokeo ni kutokea mapambano baina ya waandamanaji na polisi.