Kwaresma na Ramadhani zimekutana mwaka huu kwa siku kadhaa. Kwaresma ilianza Februari 14 na kumalizika Machi 28 wakati Waislamu wanaanza mfungo wao wa siku 29 au 30. Kwaresma ni kipindi cha siku 40 ...
Waumini wa Kikristo duniani kote duniani Jumatano wameanza mfungo wa siku 40 wa kipindi cha Kwaresma ambayo ni maandalizi ya kuelekea sikukuu ya Pasaka. Siku ya kwanza ya kuanza kipindi cha Kwaresma ...