Oscar Litonde ni mchezaji wa soka aina ya freestyle ambayo amekuwa akionyesha mitindo yake katika maeneo mbalimbali ya mji wa Nairobi ili kujipatia kipato. Ameshiriki katika mashindano ya kupepeta ...