Maafisa wakuu katika idara ya ulinzi ya Marekani wamekiri kuwa chembechembehai za ugonjwa hatari wa Kimeta zilitumwa kimakosa kwa kambi 9 za kijeshi nchini Marekani na moja nchini Korea Kusini.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti Jumatatu kuwa nchi tano za Afrika Mashariki na Kusini zinakabiliwa na milipuko ya ugonjwa wa bakteria wa kimeta (anthrax). Zaidi ya visa 1,100 vya maambukizi, ...
Watu wanne walifariki kutokana na ugonjwa wa Kipindupindu katika mji mkuu wa Lusaka katika muda wa saa 24, na kufanya idadi ya waathiriwa wa maambukizi haya kufikia 64 kote nchini tangu kuanza kwa ...
Shirika la uhifadhi wa mazingira nchini Congo, ICCN, limetoa tahadhari juu ya kusambaa kwa ugonjwa mpya unaoathiri wanyama aina ya viboko katika mbuga ya virunga huko kivu kaskazini. Shirika hilo la ...
Ugonjwa huo umeua wanyama mbalimbali karibu na hifadhi za Manyara, Ngorongoro na Serengeti. Mpaka sasa wanyama walioripotiwa kufa kwa ugonjwa huu ni nyumbu 85, swala 25 na pundamilia 30. Matangazo ...