Miaka saba baada ya mtoto wao wa kike kuuawa wakati wa operesheni ya kikatili ya usiku wa manane iliyofanywa na polisi nchini Kenya, wakati wa vurugu wa baada ya uchaguzi, Joseph Oloo Abanja na Lensa ...