Uso wake umechorwa zaidi ya nyuso zote duniani, na anatambulika kila mahali na wasanii wa Kizungu kama jamaa aliyevaa kanzu, ana kidevu kirefu sawa na nywele. Lakini je, alikuwa anafanana hivi kweli ?
Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ...