Unaweza kusema kasi ya kufanya hesabu ya Neelakantha Bhanu Prakash ni sawa na kasi ya mkimbiaji Usain Bolt. Akiwa na umri wa miaka 20, aliishindia India medali ya kwanza ya dhahabu na kuwa bingwa kwa ...
Huo ndio uliokuwa uwezo wa Shakuntala Devi kufanya hesabu kwa kutumia ubongo wake kwa sekunde kadhaa hali iliowafanya wale waliomfahamu kumuita 'Kompyuta'. Talanta yake na nambari ilimsaidia kujipatia ...