Karibu kila mtu ana dhana fulani kuhusu muonekano wa Yesu Kristo. Ndiye mtu aliyechorwa zaidi katika sanaa ya Magharibi. Picha zake hutambuliwa kwa urahisi, ambapo huoneshwa akiwa na nywele ndefu na ...
Utafiti wa maandiko ya Biblia ni uwanja hatari. Hii ni kwa sababu, miaka 2000 baadaye, hadithi zinazojulikana zinawasilishwa kwa tafsiri zilizojengwa kwa imani. Lakini wataalamu wengi wa siku hizi ...