Sikiliza kipindi cha Vijana Tugutuke, ambapo Veronica Natalis anazungumza na vijana wafanyakazi wa asasi ya kiraia iitwayo Elime Afrika yenye makao mjini Arusha.
Chama cha mapinduzi CCM kimefanya kampeni za urais mkoani Arusha kaskazini mwa Tanzania ikiwa ni kampeni za mwisho kwa eneo hilo, na kusema ana mipango mingi tu ya maendeleo kwa mkoa huo ikiwa atapewa ...